Ad Code

Responsive Advertisement
Yanga Yashusha Presha Mashabiki, Kuhusu Kufungiwa na FIFA

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umewashusha presha mashabiki wake kuhusu suala la kupigwa pini na FIFA kufanya usajili kwa muda wa misimu mitatu mfululizo. Imeelezwa kuwa Yanga imefungiwa na FIFA kufanya usajili kwa kuwa haijalipa …

Gomes Ataja Majembe 7 Matata

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amepata majembe 7 ya kazi ndani ya kikosi hicho kupitia kwenye mechi mbili za Simba Super Cup iliyofanyika Dar na timu hiyo kuweza kutwaa taji hilo ikiwa na pointi nne. Baada ya kurithi mikob…

Lulu Diva: Nitakuwa Smati Hata Kama Nauguza!

SEX lady kunako gemu ya muziki wa Bongo Fleva Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amesema kuwa ni kweli mama yake anaumwa lakini hiyo haimfanyi yeye kutojiweka vizuri. Akizungumza hivi karibuni, Lulu Diva alisema kuwa kuna baadhi ya watu …

TP MAZEMBE, AL HILAL WAKUBALI MZIKI WA SIMBA SC

KIWANGO bora kilichoonyesha na Simba kwenye michuano ya Simba Super Cup kimezifanya klabu shiriki za michuano hiyo, TP Mazembe na Al Hilal kuivulia kofia Simba na kukiri kweli kikosi hiko kiko cha mabingwa wa Ligi Kuu Bara kiko v…

AFISA HABARI WA YANGA AFUNGIWA MIAKA MITATU

Ofisa habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mitatu chini ya kifungu cha 73(8)(a) cha Mwongozo wa maadili wa TFF,  Toleo la 2013 …

VIDEO: MANARA AZIDI KUWAKERA WAPINZANI ASEMA HAWANA UBAVU PIA HAWANIWEZI

VIDEO: MAZOEZI YA SIMBA KABLA YA KUWAKABILI AL HILAL

VIDEO: KOCHA MPYA WA SIMBA NI BALAA AWAPA MAZOEZI YA NGUVU

FARID MUSSA AIBEBA TANZANIA

Tanzania leo imejitutumua mbele ya Namibia baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa pili kundi D, michuano ya CHAN. Bao la Farid Mussa aliloweka kambani kwenye dakika ya 65 liliihakikishia Tanzania ushindi muhimu a…

DE BRUYNE NJE WIKI SITA

Klabu ya Manchester City imepata pigo kufuatia taarifa za kiungo wake Kevin de Bruyne kuripotiwa kuwa atakaa nje ya uwanja kwa takribani wiki nne hadi sita kutokana na maumivu ya misuli ya paja. Raia huyo wa Ubelgiji aliumia waka…

VPL KUREJEA FEB 13, VIPORO KULIWA FEB 04

Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi mapema leo, imebainisha kuwa mikiki mikiki ya ligi kuu ya Vodacom itaendelea kuanzia Februari 13 2021 baada ya kumalizika kwa michuano ya CHAN inayofanyika nchini Cameroon. Aidha kulingana na t…

MAPINDUZI BALAMA KUREJEA LEO TOKA AFRIKA KUSINI

Kiungo fundi wa Yanga Mapinduzi Balama atarejea nchini leo Ahamisi akitokea Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu. Nyota huyo alifanyiwa upasuaji wa goti wiki iliyopita na sasa akitarajiwa kurejea dimbani baada ya kupona. Ma…

NAIBU KAMISHNA MAGEREZA AFARIKI DUNIA

NAIBU  Kamishna wa Magereza, Julius Sang’udi, amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma leo Jumatano, Januari 20, 2021. Taarifa ya kifo cha Sang’udi imetolewa na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Meja Jene…

TRUMP ATOA MSAMAHA DAKIKA ZA MAJERUHI

RAIS   anayeondoka madarakani,   Donald Trump,   amsamehe aliyekuwa mshauri wake,   Steve Bannon , ambaye anakabiliwa na mashtaka ya udanganyifu. Tangazo hilo linawadia saa kadhaa kabla ya kuapishwa kwa rais mteule,   Joe Biden. …

CARLINHOS AREJESHWA MAZOEZINI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amesema kuwa kiungo wa timu hiyo, Carlos Sténio Carlinhos anatarajia kurejea kikosini kuungana na wenzake baada ya majeraha yake kuendelea vizuri. Kaze alisema baada ya kiungo huyo kukaa nje kwa …

JOSE CHAMELEONE AUSAKA UMEYA-KAMPALA

NYOTA wa muziki wa  Hip Hop  nchini  Uganda, Joseph Mayanja  maarufu kama  Jose Chameleone,  ni miongoni mwa wagombea wa nafasi ya meya wa jiji la  Kampala . Uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa unafanyika leo nchini  Uganda…

MWASITI AFUNGUKA KUACHA MUZIKI

MWANAMUZIKI aliyekula chumvi nyingi kunako Bongo Flevani, Mwasiti Almasi ‘Mwasiti’, naye amefunguka juu ya wimbi la wasanii kuacha muziki akisema kwa upande wake bado hajawaza wala kufikiria kuachana na masuala ya muziki. Mwasiti…

VIDEO: SHABIKI WA SIMBA AANGUA KILIO BAADA YA GOLI LA NTIBAZONKIZA

VIDEO: SALAM ZA NUGAZ BAADA YA KUNYAKUA UBINGWA MBELE YA SIMBA SC MAPINDUZI CUP

VIDEO: NTIBAZONKIZA AFUNGUKA BAADA YA KUIPA UBINGWA YANGA MAPINDUZI CUP

Load More That is All