Ofisa habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mitatu chini ya kifungu cha 73(8)(a) cha Mwongozo wa maadili wa TFF, Toleo la 2013 kwa kutotii uamuzi wa Kamati ya maadili dhidi yake.


0 Comments