Ad Code

Responsive Advertisement

VPL KUREJEA FEB 13, VIPORO KULIWA FEB 04


Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi mapema leo, imebainisha kuwa mikiki mikiki ya ligi kuu ya Vodacom itaendelea kuanzia Februari 13 2021 baada ya kumalizika kwa michuano ya CHAN inayofanyika nchini Cameroon.

Aidha kulingana na taarifa hiyo, ligi hiyo itaendelea kuanzia raundi ya 19, michezo yote ya viporo itapigwa kuanzia Februari 04.

Post a Comment

0 Comments