Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akipiga selfie na Vijana na wadau mbalimbali baada ya kufungua rasmi mkutano wa vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (YouLead) uliofanyika jijini Arusha jana.
Kikwete amesema, ushirikiano katika Jumuiya ya Afrika mashariki ulianza muda mrefu na ni jukumu la vijana kuhakikisha wanashiriki kikamilifu kwani asilimia 80 ya watu walioko katika Jumuiya hiyo ni vijana.

0 Comments