UONGOZI wa Klabu ya Yanga umewashusha presha mashabiki wake kuhusu suala la kupigwa pini na FIFA kufanya usajili kwa muda wa misimu mitatu mfululizo. Imeelezwa kuwa Yanga imefungiwa na FIFA kufanya usajili kwa kuwa haijalipa …
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amepata majembe 7 ya kazi ndani ya kikosi hicho kupitia kwenye mechi mbili za Simba Super Cup iliyofanyika Dar na timu hiyo kuweza kutwaa taji hilo ikiwa na pointi nne. Baada ya kurithi mikob…
SEX lady kunako gemu ya muziki wa Bongo Fleva Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amesema kuwa ni kweli mama yake anaumwa lakini hiyo haimfanyi yeye kutojiweka vizuri. Akizungumza hivi karibuni, Lulu Diva alisema kuwa kuna baadhi ya watu …
KIWANGO bora kilichoonyesha na Simba kwenye michuano ya Simba Super Cup kimezifanya klabu shiriki za michuano hiyo, TP Mazembe na Al Hilal kuivulia kofia Simba na kukiri kweli kikosi hiko kiko cha mabingwa wa Ligi Kuu Bara kiko v…
Ofisa habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mitatu chini ya kifungu cha 73(8)(a) cha Mwongozo wa maadili wa TFF, Toleo la 2013 …
Social Plugin