Ad Code

Responsive Advertisement

MAJALIWA AKAGUA UKARABATI WA MAJENGO YA SHULE YA SEKONDARI YA TUNDURU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ukarabati wa majengo ya   Shule ya Sekondari ya Tunduru mkoani Ruvuma,  Januari 2, 2021.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama darasa lililokarabatiwa wakati alipokagua ukarabati wa majengo ya Shule ya Sekondari ya Tunduru  mkoani Ruvuma, Januari 2, 2021.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja ya meza zinazotumiwa na wanafunzi katika madarati alipokagua  ukarabati wa Shule ya Sekondari ya Tunduru mkoani Ruvuma, Januari 2, 2021.  Wa Pili kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa na wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme. Kushoto ni Mbunge wa Tunduru Kusini, Daimu Mpakate na kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Amini Limia.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ukarabati wa majengo ya Shule ya Sekondari ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Januari 2, 2021. Kulia ni Mkewe Mary na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme. Moja kati ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Tunduru ambayo yamekarabatiwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ukarabati huo, Januari 2, 2021.Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akipanda mti baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kukagua ukarabati wa majengo ya Shule ya Sekondari ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Januri 2, 2021.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Tunduru Mkoani Ruvuma kabla ya kukgua ukarabati wa majengo ya Shule hiyo, Januari 2, 2021. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme.

Post a Comment

0 Comments